Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimejaribu kutumia wipe factory reset imegoma kabisa ,naombeni msaada wenu jmn .
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo katika pita pita kwenye kupatana nimekutana na hii.....nikasema ngoja niisome nilipo soma mpaka mwisho nikaona kwa vile mimi nina DSTV ISIWE tabu ngoja niwapigie hawa watu Nikaongea nae na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
habari zenu wanajamvi. naomba msaada nina simu aina ya infinix note 3 yenye internal storage 16 gb na free space hadi ss ni 14 gb kma inavyoonekana hapo kwnye screen shot lakini nikitaka kuinstall...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni Blogger na kwamuda mrefu nimekuwa nikifanya kazi na mtandao waBidVertiser - Webmasters Make Money With Pay Per Click Affiliate Program. ambao unasave matangazo kwenye blog yangu halafu...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Wasalaam.. Kama kichwa inavosema.. Account yangu ya Instagram imekua hacked na haipo tena kwa mtaalamu yoyote msaada jamani.. Nilikuwa naitumia ki biashara.. Ndio maana nahiitaji back.. Ningekua...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakubwa ant virus gn nzur kwenye cm ya mfumo Wa Android
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeona tangazo kuhusu app hiyo kuwa naweza uza kitabu. Nimeiinstall ila bahati mbaya hawajaweka contacts. kama kuna mtu anafahamu namna ya kuwasiliana na wamiliki wa hiyo app (Jackson group...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Wakuu mbali na Usumbufu ambao Ninakutana nao Unakuta Niko kwenye foleni Nataka niangalie Taarifa ya Habari hiyo Sehemu Iliyoandikwa ITV hata huikuti hiyo Channel unaona Giza tuu Usumbufu...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
wakuu simu inataka nitumie Nano SIM card na mimi nina micro. Nimeangalia youtube tutorial za jinsi ya kukata nimeona kama ni risk. kuna namna naweza pata kirahisi. hivi mitandao ya simu hawawezi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wana JF, Naamink hapa ni suluhisho la mambo mengi, Nimeibiwa simu yangu Smartphone aina ya TECNO BOOM J8, ina taarifa zangu nyingi muhimu sana, Naomba msaada wenu wa namna ya kumtrack huyu...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Wadau nimetafuta uzi unaohusiana na hicho kichwa humu sijaona,nadhani basi hili jambo bado watu watakuwa halijaanza kuwagusa.Ila kwa wale wapakuaji wa adobe products kule torents saa hizi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau JF Natumia Mtandao Wa Tigo...Nataka Niwe Na Bet Website Gani Nzuri Yakutumia *Waiting for replys*
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama kuna fundi yeyote wa pc' hapa jukwaani yupo kariakoo anichekie keyboard ya pc angu niweze kutengeneza,kuinstall window 8.1 pamoja na vitu vingine vinavosumbua katika laptop yangu,awe na bei...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Hi, naomba minijuzee jinsii ya kutoa pesa paypal, nimekua nikifanya freelancing kwenye website na nimefikia kupata $200 per week(sio nyingi ila nikitu). shida yangu sasa hivi ni jinsi ya kuzitoa...
3 Reactions
53 Replies
9K Views
Wadau katika kupita pita kwenye website za muziki nimekutana na nyimbo ambazo nazihitaji, ila zina option ya kuplay online tu! Hapa nimehangaika kutafuta app nimeshindwa, natumia simu! Nadhani...
1 Reactions
13 Replies
11K Views
It's no secret Mark Zuckerberg is pinning Facebook's prospects on augmented reality — technology that overlays digital imagery onto the real world, like Snapchat's signature camera filters. At...
8 Reactions
53 Replies
6K Views
Kufanya Livestreaming kutoka kwenye kompyuta yako kwenda kompyuta nyingine au simu(smartphone) Kama unatazama video au unasikiliza audio kupitia vlc basi unaweza fanya vifaa vya watu wengine kama...
20 Reactions
39 Replies
8K Views
Habari wakuu,kuna best yangu anataka kununua flat screen ya kampuni ya startimes.ushauri kwa mliowai kutumia hizi tv zina ubora??
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Nina laptop aina ya dell inspiron, shida ni kuwa nikiiwasha, pale mwanzon huwa kuna kialama flan ka dell, alaf kwa chini kuna kimstari kinakuwa kinasogea, kikifika mwisho ndo windows inaanza, lkn...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
HUENDA HII IKAKUSAIDIA SIKU MOJA! Endapo utavamiwa na majambazi na wakakulazimisha kuwatolea pesa kwenye ATM, ili kuokoa maisha yako, wala usitaharuki. Unachopaswa kufanya ni kuingiza namba ya...
11 Reactions
62 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…