MSAADA.WAKUU MNISAIDIE NIMESAHAU PATTERN KWA SMARTPHONE YANGU VF695

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,676
2,556
Nimejaribu kutumia wipe factory reset imegoma kabisa ,naombeni msaada wenu jmn .
 
Habari Ashomile, Kuhusu Tatizo Lako Tunaweza Tukawa na Solution Ambayo itakuitaji soma maelezo haya Kupitia Tanzania Tech,
Nirahisi sana kuyafuata na kama utakuwa umekwama usisite kutuandikia kwenye maoni kwenye tovuti yetu au kupitia hapa kwenye ukurasa wa JF.

MAHITAJI
  • KOMPYUTA
  • USB DATA CABLE YA SIMU YAKO
  • DRIVERS ZA SIMU YAKO MAC/WINDOWS Unaweza kudownload kwenye tovuti yetu
Bofya hapa ili kupata Maelezo kamili Jinsi ya Kuondoa Pattern Bila Kupoteza Data ya Aina Yoyote

Kama itakusaidia Tueambie.!
 
Ok asante wacha nijaribu ntarudisha majibu
 
Mkuu umeipiga hiyo simu au unasahau lock itakuwa ya wizi hiyo tunaomba risiti kwanza piga picha ya risiti harafu tutakupa maujanja ya kuanilock au nenda TCRA watakufunguria lakini uwe na risiti
 
Mimi nilisahau yangu kitambo kidogo ilibidi watumie miracle box na kuianzisha upya
 
Habari Ashomile, Kuhusu Tatizo Lako Tunaweza Tukawa na Solution Ambayo itakuitaji soma maelezo haya Kupitia Tanzania Tech,
Nirahisi sana kuyafuata na kama utakuwa umekwama usisite kutuandikia kwenye maoni kwenye tovuti yetu au kupitia hapa kwenye ukurasa wa JF.

MAHITAJI
  • KOMPYUTA
  • USB DATA CABLE YA SIMU YAKO
  • DRIVERS ZA SIMU YAKO MAC/WINDOWS Unaweza kudownload kwenye tovuti yetu
Bofya hapa ili kupata Maelezo kamili Jinsi ya Kuondoa Pattern Bila Kupoteza Data ya Aina Yoyote

Kama itakusaidia Tueambie.!
Mkuu nimejaribu lakini sijaoana chochote. nikifungua sdk tools napata file tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom