Intro:
Tuna web based software application yenye watumiaji wa aina tatu
1. Admin
2. Customers
3. Guest
Customers wana proviledge ya ku create profile, contact, address, upload photo, n.k...
I noticed that our country's official tourism portal is a direct copy of Newzealand's? check this out for yourself New Zealand Travel and New Zealand Business - The official website for New...
Jamaani mwenzenu had nakosa raha ninatumia samsung galaxy grand neo plus. Lakin hii simu muda wote inaniambia not enough space. Nikaamua kutafuta memory card original ya 32Gb ili kustore vitu...
Imekua kero sana pale mtu anapopewa kazi ya kuchapa upya maneno ya kwenye kitabu ili yaprintiwe upya na hivyo kupoteza muda mwingi kutype/kuchapa upya kitu ambaco kilishaprintiwa, Mfano mzuri ni...
Naomba munisaidie kusolve hili tatizo jaman!! Simu yangu iphone 4 ina wake screen kila baada ya 15 seconds nikiwa nimelock screen vp shida nn na unafix vipi hili!!?
Wadau kama nilivyosema hapo juu, naomba kwa wale wataalamu wanipe ushauri kati ya simu hizo, ipi ni bora zaidi katika performance, betry, nk. Bajeti yangu ni kununua simu mojawapo kati ya hizo...
Habari ya muda huu kaka naomba kupata utaalamu wa mambo haya
#ili kujua laptop au desktop nzuri unafanya nini au uangalie nini?
Maana naangalia Mara watu wanakuambia
*CPU
*ROM
*RAM
*HARD DISK...
Habari za usiku wa leo wanajukwaa? niende moja kwa moja kwenye hoja msingi. Ni kuwa nina simu tajwa hapo. nilifanya upgrade kutoka Windows 8.1 denim kwenda 10. Mwanzoni ilienda vizuri bila shida...
Habari za hapa jamvini wakuu, nahitaji kujua ni sehemu gani hapa dar naweza kupata Outdoor LED Screen ninunue kwa ajili ya kufanya Advertising, Kama kuna mwenye ujuzi na haya mambo naomba anigawie...
Wapendwa habari za majukumu ?
Najitokeza kwenu kwa kuomba msaada wa software au link itakayonipa app ya kurecovery data zilizofutika kwenye SD CARD.
Nimejaribu kudownload zote ni trial halafu...
Habari wana Jf.nina blackberry z3 sasa wame release new update kwenye version 10.2.........hadi 10.3......shida inakuja ninapotaka ku update software ambayo ina ukubwa wa 1,014Mb ambayo ni sawa na...
Salaam
Kama mnavyojua ktk ulimwengu wa Internet, pindi unapotaka kujiunga na forum yyte lazima uji register na kufungua forum account. Sasa swali linakuja katika verification code wanakuuliza...
Kabla ya kuanza inabidi kua na yafuatayo.
1) uelewa wa kompyuta hata kama ni kidogo. Huo huo unatosha
2) Memory card yenyewe iliocorrupt
3)windows computer.
4) Glasi ya maji au kajuisi...
ni siku ya nne ninajalibu kununua bidhaa online kama applications mbalimbali..lakin hii kad hainiruhusu kumaliza malipo ..na mara nying huniletea messg kua nimekosea kuandila card namba.wakat...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.