Mwenye ujuzi wa iphone 4 msaada

dudukila

Senior Member
Jun 20, 2015
134
37
Naomba munisaidie kusolve hili tatizo jaman!! Simu yangu iphone 4 ina wake screen kila baada ya 15 seconds nikiwa nimelock screen vp shida nn na unafix vipi hili!!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom