Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

hello wana jf,hvi inawezekana kusikiliza radio kwa njia ya internet kwa sim yoyote yenye uwezo wa kuaccess net.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
wataalam nisaidie. dvd ya music au movie original inakubali kusoma kwenye hii deki. lakin ukiburn mp4(dvd ya mizik) inakataa kusoma. na vcd ya kuburn inacheza bila tatizo.sasa nii burn kwa foramt...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kupitia app ya zalunu
4 Reactions
25 Replies
6K Views
Heshima kwenu wadau, nina blog yangu ambayo ina miaka mitatu sasa na visitor wa kutosha. Nimejaribu kuomba msaada mara nyingi namna ya kuunga na google adsense bila mafanikio. Nimekuja kwenu hapa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari, Straight to the point hivi ni app gani nzuri katika simu ambayo inaweza kuzuia simu nnazopigiwa zisiingie kabisa kwenye simu yangu? Apps nyingi za kublock calls zinablock baada ya...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari wapendwa naomba mwenye ujuzi wa hizi mashine za efd anitumie namba yake kwa sm nina tatizo kwenye mashine yangu posho ipo
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna nyama moja ya Outlook hapa, email imetumwa kwenye conversation ya watu 8, ni mtu mmoja tu kati ya wale walioipokea email ndio ameweza kuona attachment ya word, wengine wote hawaioni. Tatizo...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Wakuu! nina moderm ya vodacom kwa ajili ya internet wakati sipo ofisini, lakini pia gharama zao zipo juu, sasa je ni provider gani ambaye internet is cheapest? siku za nyuma kuna jamaa mmoja...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimenunua simu kwa njia ya ebay nikatumiwa nimeipata tatizo haitaki kufunguka inaonavyoonesha ni zile brocked ya mtanda wa VIRGIN mobile.MSAADA WAJUZI
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni Samsung Galaxy. Kwa anayejua namna ya ku fix number tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji wifi router nzuri,yenye gharama nafuu ambayo inaingia moderm ya mitandao mbalimbali.shukrani natanguliza
0 Reactions
34 Replies
11K Views
Halotel kwa speed ya internet tu nawapigia saruti
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta cable ya USB otg
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nahitaji ku install custom rom ,simu yangu ni tecno J7.Naomba mwongozo
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Nikifungua data inakuwa slow sana lakini mitandao mingine kama Voda na Halotel zina speed kubwa mno. Nimewapigia customer care Tigo na Airtel wakanitumia configurations mpya lakini tatizo lile...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu! Nna cmu aina ya LG G2, cmu hii ni 4g lte sasa bas huwa inasoma 2g na 4g tu, Nnapojaribu kueka setting ya 4g mtandao unakata. Mpaka ss...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Hii kitu safi sana, naziset video zota nazotaka kushusha then naenda zangu kulala! Personally natumia JDownloader JDownloader.org - Offizielle Homepage ================= (Updated): Video za...
1 Reactions
47 Replies
11K Views
Naombeni msaada wa kuroot hii simu pasipo kutumia computer maana nimetumia kingroot nimeshindwa?
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Waheshimiwa nauza hosted adsense account 15000 kwa kila account. Nicheki 0765321403 au 0675968762,,na maujanja mengineee!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhali, kama kichwa kinavyoeleza, anayeweza aeleze kwa urahisi wa kueleweka hapa, kuna meseji moja imefutwa lakini ninaihitaji sana. Unayeweza, tafadhali eleza.
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Back
Top Bottom