Naombeni msaada kuhusu hii simu

Neutral catalyst

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
260
250
Hbr...cm yangu imeanguka haijapasuka kioo ila kinaonyesha mstari mistar midogo midogo pia kimefifia je nafanyaje?? Naomba ushauri
Hakijapasuka lakni nahisi kmepata damage kwa ndani hapo nenda kwa fundi akuchekie. Uko wap kama tuko karib u naweza kusaidi..ni aina gani
 
Top Bottom