Naomba app ya computer inayofanya recovery of data (SD Card)

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
23,372
54,909
Wapendwa habari za majukumu ?

Najitokeza kwenu kwa kuomba msaada wa software au link itakayonipa app ya kurecovery data zilizofutika kwenye SD CARD.

Nimejaribu kudownload zote ni trial halafu hazifanyi kazi hadi key Mwenye kujua App iliyofull anisaidie natanguliza shukurani.
 
Back
Top Bottom