Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Makampuni mengi yanayojihusisha na teknolojia siku hizi yanathamini ulinzi na usalama wa taarifa za wateja wake sana. Kwa mfano tumeona kampuni ya Apple ikipinga maamuzi ya FBI kutaka kufungua...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau niliroot simu yangu sasa ninataka kuiludisha katika hali yake ya kawaida nitumie njia gani! Ni Tecno h6.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Je, wajua mtu aliyevumbua nambari ya siri maarufu kama PIN ambayo watu wengi hutumia katika kadi za benki na katika kufanya malipo hakulipwa chochote kutokana na uvumbuzi wake? Mwanamume huyo si...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Kampuni ya simu ya Zantel imetoa msaada wa kompyuta 21 na huduma ya intaneti bure kwa vyuo saba vya walimu pamoja na shule ili kuboresha na kukuza mfumo wa elimu kupitia mafunzo ya habari na...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Muungano wa Ulaya EU umeifungulia rasmi mashtaka ya kujihusisha na vitendo vinavyozuia ushindani wa kibiashara kampuni ya kuhusiana na jinsi kampuni hiyo ya teknolojia inavyotangaza mfumo endeshi...
1 Reactions
0 Replies
861 Views
Naomba msaada wa namna ya kutengeneza bootable flash
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndege inayotumia nguvu ya jua (Solar Impulse 2) kabla ya kuanza kuruka Ndege inayotumia nguvu za jua yazinduliwa HISTORIA ya urushaji wa ndege inayotumia nguvu ya jua kwa kuzunguka Dunia...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimepata OTA upgrade ya 4 leo hii
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Wapendwa salaam,,, nawezaje kupata application gani inayoweza kulock files kwenye laptop? ,, najua apa ndo kila kitu,msaada tafadhari
0 Reactions
4 Replies
762 Views
salaam wadau, Hii application waliitangaza kua ni nzuri sana kulinda taarifa zako binafsi na pia kulinda simu yako,basi mimi nikaiweka kwenye simu yangu kwa malipo ya takribani TZS 600 kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kujua namna ya ku-upgrade simu yangu Halotel H8501 kwenye settings hamna sehemu ya ku-update
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini, Siku kadhaa zilizo pita nikikuja na uzi hapa nikiomba watu wanisaidie kunielekeza jinsi ya kuupdate android version toka 5.1 kwenda Marshmallow 6.0 na nina tumia HTC ONE M9! Kuna mmoja...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Msaada wakuu, nataka nianze kujifunza ufundi wa vifaa vya umeme hebu nielewesheni ndugu cha kwanza kabisa nianze na kuvifahamu vitu gani..
0 Reactions
9 Replies
12K Views
(This article can also be found here: Tanzania Web Consulting) Online presence: A critical success factor In today´s world your presence online will determine how much success you get in...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Habari za asubuhi wana JF....jana nilipeleka flash yangu stationery moja hivi kwaajili ya kuprint document flan.......nilipokuja kuileta kwenye PC yangu hali ulikua mbaya....nilijisahau nikaopen...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
laptop yangu ilieleta meseji isiyofutika ikisema kuwa "window is not ginuine" wakati nimetumia window hii zaidi ya miezi 6 sasa. na jana imegoma kabisa kufunguka, nikiwasha inawaka then inaleta...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Simu yangu aina ya 1 plus kioo kimefunjika haifanyi kazi kabisa ila kinaonyesha, kwa yeyote mwenye kujua sehem vinavyopatikana anijulishe please! Natanguliza shukurani zangu asante
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini!, Dishi hapo awali lilipoteza channel zote za TV. Alipoitwa fundi; fundi akarekebisha na channel zikarejea kama kawaida, tatizo limekuja kwamba channel zote hazionekani yaani zina_scrutch...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Salamaaaaaa!! Natumia ipad air2 juzi nikaamua ku hide baadh ya contacts kwenye app ya viber. On the pogress ikanidai nitegenze password na touch id. Nikafanya hivyo sasa tatizo ni kwamba nikitaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom