Software Engineer
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 344
- 137
Intro:
Tuna web based software application yenye watumiaji wa aina tatu
1. Admin
2. Customers
3. Guest
Customers wana proviledge ya ku create profile, contact, address, upload photo, n.k
Database ina zaidi ya table 20.
Challenge:
Tunahitaji ku assign permission logic/solution ambayo itaruhusu customer kuona content zinazomuhusu yeye tuu. Vile vile admin anatakiwa aweze kuona kila kitu. Guest users wanatakiwa waweze kuona reports zinakuwa generated na system automatically.
Je tutumie utaalamu/njia ipi ili tuweze ku-assign na ku limit permission katika application level to row level?
Current state:
Tumepitia baadhi ya solution mbali mbali e.g. HII HAPA
Tunaomba mchango wako