Msaada wa NMB MAsterCard

mwepesi

Senior Member
Jan 27, 2016
156
95
ni siku ya nne ninajalibu kununua bidhaa online kama applications mbalimbali..lakin hii kad hainiruhusu kumaliza malipo ..na mara nying huniletea messg kua nimekosea kuandila card namba.wakat nimekopi vizr..wakubwa hiz kad n kwer n master ama changa la macho..na kama n master..nifanye nin kutatua hil tatiz
 
Kwa hiyo ukiwa na master kadi unaweza nunua bidhaa hadi nje ya nchi? Kuna tofauti gani kati ya master card na visa card.
 
Kwa option zilizopo katika manunuzi master card ipo..kso nilitegemea inapiga mzigo kama master zingne mfn crdb
 
Bank za kibongo izo card uwa ziko deactivated, n mpaka uweke sahihi kwenye makaratasi yao ndio wairuhusu, me nliwah kukwama na card ya crdb ivo ivo
 
kujazia hoja za wajumbe waliopita,kwa issue ya usalama hzo kadi wanazizuia kutumika moja kwa moja mpaka utembelee tawi la jiran wairuhusu kufanya manunuzi na kimsingi haizingui wakiiruhusu,au piga namba yao 0800112233
 
Back
Top Bottom