Msaada PC yangu inashindwa kuongeza brightness

Petro Oswald

JF-Expert Member
Aug 17, 2015
2,372
1,842
Kwa anayejua anisaidie.....PC yangu imeanza gafla tatizo la kushindwa kuongeza brightness kwenye screen ...ukitaka kuongeza labda wakati computer inawaka b4 window haijawaka!!! Natumia window 8.1
 
Kama window unayotumia. Sio activated haitawezekana mpaka iwe activated na ikiwa activated nenda kwenye icon ya betri chini kanisa kulia kwenye screen ya pc yako then click hapo ita popup baada ya hapo kuna maneno chini ya hiyo popup. Chagua linalosema. Adjust brightness
Baada ya kuchagua utaona kwa chini on the next window itakayotokea tualama tunatofanana na jua gusa pale na mous pad then ako kamshale peleka. Kulia kwako/au angalia uchague power plan. Uko ndani utaona hivyo vimistari vyenye icon ya jua mara nyingi huwa na rangi ya brown au chungwa lililoiva then chagua hapo rudisha vim share mushoto alafu click save change utaona mwanga umepungua mbali na hapo acti vate hiyo window
 
Back
Top Bottom