Wataalamu wa simu za Samsung naombeni msaada

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,487
5,111
Jamaani mwenzenu had nakosa raha ninatumia samsung galaxy grand neo plus. Lakin hii simu muda wote inaniambia not enough space. Nikaamua kutafuta memory card original ya 32Gb ili kustore vitu huko. Ila stil bado vitu haviendi kwende external memory ila internal. Nisadie jinsi ya kuweka vizur setting ili niwe natumia external memory kad. Maana kila kitu sasa kinagoma na simu inakuwa nzito sana.

Na hiu ni kutokana na kaz zangu vitu vingi napokea so kujaza internal ni faster .

Had aplication zinagoma update
28017084a0df17f3df6a831651d71f8c.jpg
 
Just dial *#9900# on the tablet and
select option 2 “Delete dumpstate/logcat” in the prompted menu.
Hope it helps you!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom