Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,958
- 9,299
Habari wana Jf.nina blackberry z3 sasa wame release new update kwenye version 10.2.........hadi 10.3......shida inakuja ninapotaka ku update software ambayo ina ukubwa wa 1,014Mb ambayo ni sawa na 1GB inaniambia ni update kwenye wi-fi sasa nikitaka ku update kwa wi-fi inaniambia tena 1.4Gb of space required ili niupdate.nikiangalia application na files ambazo nimedownload hata nikizi delete zote hazifiki hiyo 1.4GB.tatizo ni nini wadau maana nilikuwa na blackberry z10 nili update software kwa kutumia bando ya kawaida tu kwenye simu na ilikuwa na ukubwa wa zaidi ya 1GB.Msaada tafadhali wadau naamini jf hakuna kinachoshindikana.