blogmaster
Senior Member
- Aug 15, 2015
- 167
- 74
Kabla ya kuanza inabidi kua na yafuatayo.
1) uelewa wa kompyuta hata kama ni kidogo. Huo huo unatosha
2) Memory card yenyewe iliocorrupt
3)windows computer.
4) Glasi ya maji au kajuisi si mbaya {#JOKE}
Okay baada ya kudaka hayo hapo juu naomba tuanze kama ifuatavyo.
hii itafungua window feauture iitwayo command prompt ambayo ina uwezo mkubwa wa kufanya mambo mengi ila kubwa zaidi kufix memory card yetu.
kitakachofunguka kitafanana hivi.
Now kabla ya kuanza hakiki kua disc yako haina wright protection yeyote otherwise haitasoma if else, lets goooo
baada ya hapo chomeka memory yako kwenye pc euther kwa kutumia card reader, ama modem ama any possible means iliopo. then fungua my computer, angalia removable disks zilizopo na soma herufi ya memory card yako. tutaiihitaji badae.
kwangu mimi yangu inaonyesha H kama unavoona, yako yaweza kua tofauti, isikupe shida
Now fungua command {CMD} na uandike maneno haya chkdisk ikifatiwa na card drive yako alafu /f inatakiwa kua hivi
chkdisk h: /f
baada ya kuandika hayo hit enter na acha computer sasa ifanye mbwembwe zake. hii inaeza chukua muda kuendana na ukubwa wa CARD na mafaili yanayobebwa ikimalizika utaona kitu kinafanana hivi.
Hio ni kwa sababu memory yangu haina shida kama yako ina shida tumia code hii