Wataalamu wa computer/Laptop tujuzane

Willy T

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
253
91
Habari ya muda huu kaka naomba kupata utaalamu wa mambo haya

#ili kujua laptop au desktop nzuri unafanya nini au uangalie nini?

Maana naangalia Mara watu wanakuambia
*CPU
*ROM
*RAM
*HARD DISK
wataalamu wa mambo naomba kujua haya mambo ili kuepuka kununua vitu feki
Asante....
 
mkuu karibia asilimia 99.99 ya laptop/desktop zote ni original, hii ni kutokana na control kubwa ya kina Amd na Intel wao hawaruhusu technology yao ya x86 kutumika ovyo, na kila mtengeneza vifaa vya ndani vya computer inabidi atengeneze kwa maelezo ya kina intel na amd na si vinginevyo.

kitu muhimu zaidi ni processor kwani yenyewe ndio huamua ram iwe ya aina gani, speed ya ram, aina ya motherboard, cooling na mambo kibao.

kuhusu ram usiogope almost laptop/desktop zote unaweza kuziongeza mwenyewe sababu vifaa hivyo huruhusu kuchomeka ram nyengine. ila kuna baadhi ya laptop nyembamba huwezi chomoa ram zinakuwa zimechomolewa

harddisk pia unaweza kubadili mwenyewe.

soma hizi thread zitakusaidia
Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua memory za computer
 
Back
Top Bottom