Outdoor LED Screens

Outdoor LED Screens

Mau

Senior Member
Joined
Apr 8, 2009
Posts
176
Reaction score
10
Habari za hapa jamvini wakuu, nahitaji kujua ni sehemu gani hapa dar naweza kupata Outdoor LED Screen ninunue kwa ajili ya kufanya Advertising, Kama kuna mwenye ujuzi na haya mambo naomba anigawie na kama kuna mwenye kujua ni jinsi gani ntaweza pata hiyo screen naomba anifahamishe. nitafurahi kama nitajua bei zake pia kulingana na ukubwa tofauti
Nawasilisha
 
Nampula design mbagala rangi Tatu sina namba zao ila uliza tu utafika.
 
Unataka ya ukubwa gani kaka?
 
Back
Top Bottom