Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

We are the first major browser maker to integrate an unlimited and free VPN or virtual private network. Now, you don’t have to download VPN extensions or pay for VPN subscriptions to access...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu naombeni msaada wa software inayoweza kuflash tecno P5 kwa computer.
0 Reactions
0 Replies
944 Views
NI HATUA NZURI YA UWEZEKANO WA BINADAMU KWENDA KUISHI, DALILI ZAONYESHA KUNA VIUMBE HAI Leon Bahati WANASAYANSI wa anga kwa muda mrefu wamekuwa wakitafuta uwezekano wa maisha katika sayari...
2 Reactions
30 Replies
27K Views
Kuna mtu nimempa atazame simu yangu akagusa kitu anasema ame restore..sijui kama ndo hivyo matokeo yake kila kitu kimefutka...picha zote na apps zote simu imekuwa kama mpya... je kuna uwezekano...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Salam wakuu, Simu yangu aina ya asus inakataa kuunganisha hotspot, inajibu kuwa internet ni tatizo wakati natumia internet vizuri tu kwa kublowse. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
933 Views
wadau leo nimewasha compture yangu ikawaka vizuri nlikua nimechomeka headphone nikaconecct kwenye sub faa nimepiga nyimbo 2 tyu gafla ikajizima yenyewe ile nawasha inawaka sema haidisplay...
1 Reactions
2 Replies
948 Views
Specification ios7.1.1 bought at a second hand from my friend ambae kwasasa hapatikan na nshafanya restoration lakin device ina demand account that was used to setup that ipad
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Naombeni APN setting za mtandao tajwa. Nimejaribu "internet" imekataa
0 Reactions
8 Replies
15K Views
Aisee kwa muda mrefu nilikuwa naiaminia internet speed ya airtel..lakini kwa hizi siku za karibuni...kasi ya airtel ni ndogo mno...kama konokono....kufungua kapage kadogo dogo tu kapdf...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu. naomba msaada namna ya ku install settings za data kwenye simu Galaxy
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Salaam wakuu. Nina tablet aina ya Vodafone Smart Tab 3G ambayo inakubali tuu kutumia line ya voda. Nikiweka line ya mtandao mwingine inaniambia niingize code za network restriction. Nimeshauriwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada Power Supply ya LG Tv yangu imeungua wapi nitapata kwa hapa Dar?
0 Reactions
0 Replies
958 Views
jamani wana jamvi mwenye ufahamu juu ya namna utaratitbu unavyofanyika.pale mtu anapokuuzia line ya sim bank.ie airtel money,tigo or mpesa..aliyosajili kwa jina lake.anatakiwa abadili vitu...
1 Reactions
1 Replies
703 Views
Wakati mwigine huwa tunazima vifaa vyetu vya umeme. Lakini wakati Huo huo vyanzo vya umeme vinaendelea kuzalisha. Je, umeme ule uliozalishwa huenda wapi? Ingawa najua hilo ni ngumu kutokea kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kuna rafiki yangu anasimu yake vodafone vf685 aliroot sasa alijisahau akaitoa ile sehemu ya dawnload inayokuwa kwenye simu na sasa hawezi kuinstall app yoyote hata kupitia apk ninaomba...
0 Reactions
2 Replies
746 Views
Je, unataka bypass Cyberoam kwenye simu Android katika chuo au shirika lolote? Kama ndiyo, basi kufuata mafunzo haya. Hii ni kwa rooted and non rooted. Kwa wale wadau wanaotaka ku Bypass Cyberoam...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naomba munisaidie nina iphone 4 ina shida ina wake kila baada ya 15 sec baada ya kulock screen nimejaribu settings zote nimeshindwa nimeirestore bado nimeshindwa nimesoma kwenye google bado...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Simu aina ya tecno p3 imeleta madhara ya kiafya kwa mtumiaji. Simu hiyo INA nyufa kwenye kioo chake. Mtumiaji aliitumia pasiposhida kwa muda. Ghafla mkono ukafa ganzi ambao ndio huutumia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za jioni,naitaiji kutumia microsoft office kwenye simu nimeenda playstore zimezikuta tofauti tofauti ipi ni nzuri pale
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Unaweza ku design icon za high quality zenye style kama hizi? Nitumie sample tatu kila moja zenye uwiano na maneno yafuatayo 1. Education 2. Health 3. Sports Ambatanisha na bei yako.
0 Reactions
1 Replies
614 Views
Back
Top Bottom