Ibrahimu Riyad
Member
- Apr 15, 2016
- 16
- 5
Habari wakuu nahitaji kujua jinsi ya kufungua/kuanzisha Internet Radio Kwa wenye kujua naomba waniambukize ujanja kwasababu sio ugonjwa
Nawasilisha
Nawasilisha
atikani kakani vyepesi sana ila inatakiwa uwe na website ambayo itakuwa inamuwezesha mtu kusikiliza vile vile inatakiwa all time uwe online sasa hapo tafuta bando la uwakika kwa maana internet radio ina kula mb kama vile unaangalia video youtube mimi nimeisha jaribu kufanya kitu kama hicho ila sikua interest nacho sana ila naweza kuunganisha online radio
maelezo zaidi wasiliana nami 0743497079
Hamna kitu wizi tuu kama unamsaidia si umsaidie tu maujanja aseeni vyepesi sana ila inatakiwa uwe na website ambayo itakuwa inamuwezesha mtu kusikiliza vile vile inatakiwa all time uwe online sasa hapo tafuta bando la uwakika kwa maana internet radio ina kula mb kama vile unaangalia video youtube mimi nimeisha jaribu kufanya kitu kama hicho ila sikua interest nacho sana ila naweza kuunganisha online radio
maelezo zaidi wasiliana nami 0743497079
Tatizo lako ume kalilisha Usi ropoke maneno ambayo hayana tija kwa jamii na sio kila mtu humu jamii forum ni mwizi naomba ujichunge kauli zako kijanaHamna kitu wizi tuu kama unamsaidia si umsaidie tu maujanja asee
shukrani mkuuSijui unataka kustream wewe mwenyewe au unataka kuweka mafile yawe yanaplay tu by the way. Unaweza tembelea hapa Luna Maelezo yote ambayo yatakuwezesha kufanya hilo lengo lako.
How to Create an Internet Radio Station - wikiHow
Usisahau kuleta mrejesho.shukrani mkuu
Usisahau kuleta mrejesho.shukrani mkuu
Haitumii mb nyingi?Sijui unataka kustream wewe mwenyewe au unataka kuweka mafile yawe yanaplay tu by the way. Unaweza tembelea hapa Luna Maelezo yote ambayo yatakuwezesha kufanya hilo lengo lako.
How to Create an Internet Radio Station - wikiHow
Kama ni 24/7 hours bando linahitajika kama kwa mda flani format ya mp3 haili bando nyingi. Ila kama unataka kustream kwenye local area network mfano wireless hotspot haitaji bando la internet kuna setup tu unazifanya kwa kutumia VLC media player.Haitumii mb nyingi?
Local area network ikoje hasa?
Samahani kwa usumbufu.
sawa mkuu umeme ukirudi leo usiku nitaanza kisha nitakurejeshea matokeo nitakayoyapataUsisahau kuleta mrejesho.
Natamani nijifunze vitu vingi zaidi kutoka kwako kuhusu uanzishaji wa radio station.LAN hii ni aina ya network ambayo inaunganisha baadhi ya kompyuta ama simu katika eneo dogo. Kuna ambayo inatumia Ethernet cable alafu nyingine ni wireless ambayo Kama unasimu au kompyuta unaweza tumia WiFi hotspot am WiFi tethering na kuunganisha simu ama kompyuta ambazo zinasapoti WiFi .ukishaweza kuunganisha na baadhi ya kompyuta kwenye eneo uliopo uliopo unaweza kufanya streaming live kwa kutumia VLC na komputer ambazo zimeunganisha kwenye hiyo network wanaweza kusikiliza au kuona hiko ambacho unakistream.