Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,360
Imekua kero sana pale mtu anapopewa kazi ya kuchapa upya maneno ya kwenye kitabu ili yaprintiwe upya na hivyo kupoteza muda mwingi kutype/kuchapa upya kitu ambaco kilishaprintiwa, Mfano mzuri ni pale ambapo tunaenda stationery kuchapa na kuprint upya vitabu vya zamani na kutoa pesa,
Leo tutajifunza jinsi ya kupunguza huu mzigo wa kuchapa vitu vilivyokwisha chapwa
1.Piga picha kwa kamera nzuri ama scan ukurasa wenye maandishi unaotaka kuuchapa upya
2.chukua file picha uliyopiga ya ukurasa ama ukurasa ulioscan kasha ingia Free Online OCR - convert scanned PDF and images to Word, JPEG to Word
3. Minya option ya select file kasha chagua file la picha uliyopiga ya ukurasa ama ukurasa ulioscan
3.chagua lugha
3.chagua mfumo wa document kama itokee kwenye microsft word ama kama file ni lenye mfumo wa excel chagua hapo
4. malizia kwa kuminya convert
5.Ingiza maneno unayooneshwa kwenye kibox
6. download file lako………………KAZI KWISHA……UMEOKOA MUDA NA PESA