Nili update simu yangu kwenda Marshmallow sasa nahitaji kuroot nimetumia kingroot lakini kila ikifika 30% inaandika root failed je nitumie njia gani version ya kingroot ni 4. 9. 0 ndo nilio kuwa...
Kwa wale wanaopenda ku-download movie na vitu vingine vyenye MB kubwa wakati hawana uwezo wa kununua MB nyingi za kudownload movie hata 100, leo nimekuja na software ya kukuwezesha ku-download...
habari zenu wanajamvi, nina simu tecno T430 imepewa faili la youtube lakini haiwezi kustream video, kila ninapo click watch ina load alaf inaniandikia scheme doesn't support.. je shida ni nini...
Habar zenu hapa samahan wakuu ningependa kufahamu kati ya computer inayorun kwa kutumia graphics card za AMD na computer inayotumia graphics card za NVIDIA ipi ni nzuri kwa performance???
Habarini wadau. Kama wiki moja hivi simu yangu imekataa kabisa ku share internet kwenye computer.
Nikienda kwenye setting kuna sehem ilikuwa inanipa option ya usb ili ni connect internet lakini...
Intro
Tunatengeneza web application kwaajili ya ku track huduma ya tuition katika mkoa wa Arusha, n.k
Tunatumia ASP.NET, Razor, MVC, EntityFramework, jQuery n.k
Database Design
Database hii...
Habari wana jamvi..mm nilinunua katv haka ka 22" kwa ajili ya chumbani...nilikanunua mwezi wa 11 mwaka 2011ghafla mwaka 2012 julai kakagoma kuonyesha...bahati mbaya sina warrant...tatizo lake ni...
Habari wakuu? Mungu ni mwema anatupatia uzima na afya ya kutuwezesha kufanya yetu.
Naomba msaada katika hili:
Nimeanza kutumia whatsapp web ila nashindwa na sioni sehemu itakayoniwezesha kuset ili...
Kuna simu yangu naipenda kwa kweli ni Samsung galaxy ace gt5830i. Kila nikiweka memory card mpya nikipiga picture kama 15 na video 2 nikiongeza picture zinakuwa black zote.
Nishaiweka memory...
Habari wana jf naomba mtu anisaidie jinsi ya kujiunga na snapchat na kusoma taarifa mbalimbali na kuona picha za marafiki, msaada tafadhali nimeidownload tayari nimeifungua hata picha nimeweka...
wadau naomba msaada wa kupata marshamallow na kujua jinsi ya kuiweka kwenye hii Samsung....sijawahi upgrade sim manualy so please naomba mnielekeze kama mwanafunzi sio kama mtu anaefahamu...
Msaada wakubwa nilipo install Bluestack kwenye computer niki open tu program neno hilo linatokea kuwa ms-win-core-errorhandling dil1-1-1 is missing please install first natumia window7 64Bit
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.