Simu ipi The best kati ya LG G2, HUAWEI G PLAY MINI NA HTC DESIRE 816.

TheGreatASA

JF-Expert Member
Jun 26, 2014
250
310
Wadau kama nilivyosema hapo juu, naomba kwa wale wataalamu wanipe ushauri kati ya simu hizo, ipi ni bora zaidi katika performance, betry, nk. Bajeti yangu ni kununua simu mojawapo kati ya hizo.
Naomba kuwasilisha.
 
Hapo piga ua, kwa specs hakuna alie mfikia lg, nashauri LG g2
 
Wadau kama nilivyosema hapo juu, naomba kwa wale wataalamu wanipe ushauri kati ya simu hizo, ipi ni bora zaidi katika performance, betry, nk. Bajeti yangu ni kununua simu mojawapo kati ya hizo.
Naomba kuwasilisha.
Mie natumia LG G3, nakushauri uichukue tu hi LG. Ziko poa sana
 
Wadau kama nilivyosema hapo juu, naomba kwa wale wataalamu wanipe ushauri kati ya simu hizo, ipi ni bora zaidi katika performance, betry, nk. Bajeti yangu ni kununua simu mojawapo kati ya hizo.
Naomba kuwasilisha.

g2 ni monster mkuu mpaka simu za 2016 zinatoa macho
 
Ni nzuri lakini updates inaweza kuwa shida kwa maana android yake itakuwa ya zamani lakini iko poa sana
 
Ingia www.gsmarena.com, pale utapata maelezo ya kina zaidi kuanzia General performance, battery, display quality na type, gaming info. Mambo chungu nzima. Naitumia sana napotaka maelezo ya kutosha kuhusu simu husika
 
ninayo lg2 iko poa performance pamoja na battery ni noma mpaka nikirudi home usiku inasoma 50% battery
 
Back
Top Bottom