Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,052
Habari za usiku wa leo wanajukwaa? niende moja kwa moja kwenye hoja msingi. Ni kuwa nina simu tajwa hapo. nilifanya upgrade kutoka Windows 8.1 denim kwenda 10. Mwanzoni ilienda vizuri bila shida yeyote ile. Ila baadae imeanza kuleta notification ya ¨device is charging slowly, use charger that came with the phone¨
Chaja ninayotumia ni Original iliyokuja na simu katika box lake. shida inakuja simu inaenda hata masaa matano ndo chaja ijae. Nimefanya Windows Up to date ila bado naona shida iko pale pale, nkafanya hard reset kama mara mbili na baada ya hapo nika-update OS ila shida bado iko pale pale.
Msaada kwenu wadau.
Cc;@Chief Mkwawa, Sharobaro na wengineo nakaribisha maoni yenu