Heshima kwenu wakuu,
Samahani naombeni msaada wenu namna ya ku update cm yangu ni BLACKBERRY 9800,kwani whtsapp inagoma inataka mpaka ni update cm,msaada wenu muhimu kwangu
Ahsanteni.
HABARI
Naombeni msaada wenu ndugu zangu kuna project naifanya yenye title ""HUMAN VOICE CONTROLLED WHEELCHAIR FOR DISABLED PEOPLE "" project yangu inahusisha EasyVR module 3.0 (without the...
Ninafanya setting za ppp over ethernet(pppoe) kweny d link router dsl 2540u nimekwama kwenye
Ppp user name
Ppp pasword
Ppp service name
Isp wangu ni ttcl msaada wenu wakuu
wakuu samahani ninaomba msaada wa simu yangu SAMSUNG SGH-i997 au maarufu kwa jina la INFUSE 4G,niliitoa betri kurudishia ikawa imepoteza network na IMEI haisomi,ukiandika ile namba ya kuangalia...
Kampuni ya Apple iliyobobea kwenye utengenezaji wa Vifaa vya mawasiliano kama Computer, Simu, speaker (beats by dree), Saa za mikononi (iWatch) imetoa Update katika operating system yake ambapo...
kwa wale walioshangaa facebook kutoa dola bilion 18 kununua whatsapp leo microsoft amezidisha zaidi kwa kutoa dola bilioni 26 kununua linkedin kwa haraka haraka ni zaidi ya trilioni 55 za...
Natumai wengi wenu ni wazima wa afya, nimekwama kidogo maalifa na uwelewa wa jinsi gani naweza kuongeza nafasi iliyo jaa katika pc yangu ninayoitumia. Local disc C imejaa na naitaji niiongezee...
Habari wadau,
Nimepata majanga baada ya computer yangu ku collapse na kunipotezea baadhi ya software,
Naomba msaada wa link ambayo uki bofya inakuwezesha ku pakua (download) program ya adoble...
Wadau kuna mtu anahitaji msaada hivyo naombeni mawazo yenu,
"Nina blog ambayo ipo hewani ni mwaka wa nne huu ila ipo dormant nataka kuifanyia kazi kila siku kuanzia sasa, je kwa tanzania unaweza...
Wakuu salama?
Kuna mchina nafanya nae kazi ss alienda china akarud na hiyo simu inaitwa Huawei mate8,mm nataka ninunue hyo simu ila naiona km feki hv mana OS yake inaitwa YunOS na si android...
Habari zenu wapendwa.
Natumai nyote mu wazima wa afya.
Members wenzangu nimekuja kwenu kwa kutaka msaada juu ya vitu viwili.
MOSI; Kuna member alieleza jinsi ya ku-download videos bure tthrough...
Simu yangu nikirecord video inatoa video zenye Size kubwa sanaa hadi nashangaa! Sasa Jana nimerecord video yangu ina MB 525 kwa dakika 3,hahitaji kupunguza sanaa hii size bila kupoteza quality ya...
Wakuu nna laki 5,.nataka laptop itakayosukuma games kadhaa kama fifa,call of duty nk.
Iwe used au mpya,mnanishauri nichukue yenye vigezo gani kulingana na iyo budget hapo.
Hata kama kuna anaeuza...
Nilifanya muamala kupitia paypal kwa kadi ya CRDB. Seller kanipa refund ya malipo baada ya biashara kushindikana.
Naomba kujuzwa yafuatayo:
Je, CRDB wanapokea malipo kutoka paypal?
Natakiwa...
Habari wakuu nasikia kuwa na nimeona kuwa kuna namna ya kuweza kufanya website yako ikasapoti adsense hata kama ina content za kiswahili, sasa sina uhakika unafanyaje je ni kwamba unakuwa unatuma...