GTA
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 878
- 649
Habari wadau,
Nimepata majanga baada ya computer yangu ku collapse na kunipotezea baadhi ya software,
Naomba msaada wa link ambayo uki bofya inakuwezesha ku pakua (download) program ya adoble photoshop cs6 bila chenga kwani nimejaribu kutafuta internet via kickass and pirate bay bila mafaniko. Nawasilisha
Asante!