Nashukuru ila ni kwa matumizi ya mtoro wa O-level ao nadhani itamfaa.mini laptop nyingi zinatumia processor za atom za zamani ambazo ni mbaya kupindukia, hata kufungua baadhi ya page ni shida.
tafuta laptop nyembamba zenye kioo inch 12 hadi 14 sio kubwa sana zinafanania kidogo na mini laptop lakini atleast utapata laptop yenye nguvu.
inategemeana na budget ila mpya unapata kuanzia 450,000 hivi na kuendelea.
Naitaji minIpo ultrabook
Sony Vaio pro 11
4th gen core i5 1.6-2.3Ghz
4GB ram
128GB SSD
IPS full HD touchscreen display 11"
Backlit keyboard
Battery 6-7hrs
Bei 850,000/=
View attachment 356210 View attachment 356211
Ok boss, kama ulilenga size ni ndogo pia.Naitaji min
Ok boss, kama ulilenga size ni ndogo pia.
Muonekano ni huu