Nifuate hatua gani kutengeneza website kama JamiiForums?

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Habari wana-JF,

Kama kichwa cha habari kisemavyo. Nifuate utaratibu upi kwa ajili ya kutengeza website kama JAMIIFORUMS?

Nawasilisha..
 
Mhhh! Waswahili wananena usione vyaelea, vimeundwa. Ni kazi ngumu kufanikiwa kama JF ilivyo ila anza taratibu kwa kuangaalia ni eneo lipi wanakosea nawe unaweza kujipenyeza kwa kutumia huo udhaifu.
 
Ni vyema kufahamu ila ni kazi ngumu sana kwani nikifikiria tar. 25 October ktk uchaguzi mkuu jinsi Jf ilivyoingiliwa na kutikiswa na maharamia wa mtandaoni nachoka mwenyewe.
 
It is possible, ni vema ukawatafuta programmers au web developers uwape kazi, but ningekushauri uje na niche forum yaani isifanane na JF, tafuta specific topic either politic, sport, tech or topic nyinginezo. But kama utataka iwe multi forums kama JF inabidi ufanye kitu best zaidi JF. Pia kama alivyosema Amoxlin, ishu ya security ni muhimu sana, unapaswa kuinvest kwenye security kama utakuwa unagusa mambo nyeti sana. Finally, sio kitu rahisi sana kupush kitu then jamii ikakikubali kwa haraka, usione JF imekubalika tu, kuna hard work kubwa sana imefanyika. But it is possible, do it, nakutakia kila la kheri.
 
Habari
Mimi mwenyewe ni beginner kwenye web development.

Kama unahitaji kuwa msimamizi tu bora utafute wanaojua wakufanyie hiyo kazi na kama unaitaji wewe mwenyewe mkono wako uhusike na development basi huna budi kujikita katika
Web development languages na sio mbaya ukawa na both knowledge of
Front-end and back-end languages.

Start with simple
Html
Css
JavaScript
Php

Make sure unajua in and out Na of databases.
Utamu pia upo hapa
Ruby on rails

Don't stop
Chagua framework yako utakayoifanyia kazi kulingana na mahitaji yako
Zipo nying.

Mfano wa php framework nazofahamu
Codeigniter
Raravel

Na kama utatumia CMS basi kuna joomla, WordPress, drupal.

Mpaka hapo utakuwa Web developer Guru.

Ni kwa ufupi tu
 
Back
Top Bottom