*_TANZANIA JOIN 2DAYSKY_*
Hii ni Kampeni Maalumu ya kumsapoti mwanafunzi wa *_UDOM_* anaeitwa Elisha William anayesoma *College of Informatics*ambaye amefanikiwa kutengeneza mtandao wa...
Habari za mda huu wana jamvi,mimi ni mgeni humu lakini ndo nshaanza kuwa mwenyeji hivyo.Juzi nilikua natafuta laptop nzuri kwa matumizi yangu,katika kupita pita mitandaoni nikakutana na blog moja...
Mwenye utaalamu na haya mambo jaman msaada maana naona kila nkisearch google napata website kibao sasa sijui kuna usalama huko.
Au bora tuu ni download moja kwa moja kutoka kwa hawa official...
Wadau mambo vipi? natumaini wazima! Kuna new social network ambayo bado unupgraded . Wadau hebu pitie www.jamiichat.yooco.org then mfunguke, hapo jamaa alietengeneza aki upgrade na kulipia domain...
Za leo wakuu.. natumai wazima wa afya nyote.
Ni muda mrefu umepita tangu kampuni moja ya india, Ringing Bells izundue simu aina ya smartphone Freedom 251 yenye line 2,processor speed 1.3ghz...
Za leo wana jamvi ningependa ni wajulishe hii app ya mobdro inayo kuwezesha kuangalia tv za Europe na marekani online. Ina channels kibao kama MTV base zote una zo zijua ww na channels zengine...
Naomba mnifahamishe jinsi ya kurudisha old window kwenye PC HP coi5, mwanzo nilikuwa natumia window 7pr nika-upgrade to window 10 so naona inanishinda kutumia, naomba maelekezo ili nirudshe window...
Habari ya Jumamosi wana JF.
Miezi miwili iliyopita nilinunua Desktop kwenye duka linaloitwa Alasco Computers lililopo mtaa wa Uhuru Kariakoo. Ndani ya PC waliweka window 8 ambayo ilikuwa ya trial...
Habari ndugu zangu, mwenye key za ms office 2013 naomba anisaidie maana lap top yangu nilinunua na wakanifanyia installation ya ms office, sasa inaniletea sms ya kutaka ni activate na bado siku...
Huo ni ujumbe ninaoupata ninapolocate pointer kwenye icon ya battery, sometimes inacharge na sometimes haicharge. Nimejaribu ku-uninstall and ku~reinstall ACPI nikidhani kuwa inaweza kuwa corrupt...
Jamani mimi nina simu yangu aina ya huawei Y530 ina tatizo moja, nikiwa naiwasha ina andika neno huawei alafu ina andika android na ndio mwisho wake aw kuwaka hapo.
Msaada wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.