Huawei mate8 ina YunOS, je ninunue?

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,574
3,635
Wakuu salama?
Kuna mchina nafanya nae kazi ss alienda china akarud na hiyo simu inaitwa Huawei mate8,mm nataka ninunue hyo simu ila naiona km feki hv mana OS yake inaitwa YunOS na si android.

Embu nipeni mawazo kwa anaeijua hii simu km ni geniuine
 
yunos ni os ya alibaba ni android sema imebadilishwa sana. uwezekano mkubwa ni simu original lakini usifikirie feature zake zitakuwa kama simu za kawaida tegemea kuona mambo mapya.

angekupa kidogo ukae nayo uone kama utaipenda.
 
nashkuru saa mkuu chief,nataka kesho niweke line af nicheki ile njia ya kuangalia imei no

vp kuhusu bei zake?
 
nipo nayo saiv naichek chek ila button zake hazinibarik kiivyo mana nlishazoea za s3 ila ndo wameiba tena
 
na vp kuhusu playstore ntaweza kuipata humu mana bila apps za playstore bora niiache tu

au kuna uwezekano wa kubadili system iwe android ya kawaida?
 
mkuu maswali yoote hapo juu nakushauri tu achana nayo
1. china hakuna playstore
2. hio ni os ya kichina tegemea app nyingi za china
3. nilijua una mchongo nayo unaipata bure au kwa nafuu kumbe unainunua kama simu nyengine

bei zake zinakaribia milioni hivi
 
Back
Top Bottom