Habari zenu wapendwa.
Natumai nyote mu wazima wa afya.
Members wenzangu nimekuja kwenu kwa kutaka msaada juu ya vitu viwili.
MOSI; Kuna member alieleza jinsi ya ku-download videos bure tthrough YOUTUBE hususani nyakati za usiku (Night offer)) kwa kutumia mtandao wa TIGO, alisema waweza tumia JDOWNLOADER binafsi mimedownload hiyo application na kuiweka kama homepage katika MOZILA lakini still nashindwa kudownload ila kuziangalia naziangalia free. Hivyo naomba kwa mwenye ufahamu anielekeze jinsi ku-download freely videos kutoka YOUTUBE.
PILI: Mtandao wa TIGO wako na huduma ya ku-surf social networks freely kupitia internet.org Je kwa huduma hii pia yaweza kupatikana kwa kutumia computer?
Yangu ni hayo wataalamu, natumai I have posed the questions on the right forum.
Thank You All