Jamani mimi nina simu yangu aina ya huawei Y530 ina tatizo moja, nikiwa naiwasha ina andika neno huawei alafu ina andika android na ndio mwisho wake aw kuwaka hapo.
Msaada wakuu
Jinsi ya kusoma ujumbe wa Whatsapp kisiri bila ya aliyekutumia kujua kama umesoma ujumbe wake
WhatsApp-Last-Seen-Timestamp-on-your-iOS-and-Android-devicesVitiki viwili vya bluu katika Whatsapp...
Wapendwa naomba mnisaidie kwa hilo nihitaji kuhamisha data toka kwenye simu kwenda kwenye pc lakini nikichomeka usb cable inacharge tu na ukienda kwenye setting ya usb imefaint. Karibuni kwa msaada.
wadau natanguliza shukran. kwa yeyyote jukwaani anayeweza kutumia gps ya kwenye simu kupima viwanja basi atupe maujanja. atusaidie namna ya kutambua uwepo wa barabara na open space ktk maeneo...
wadau simu yangu aina ya samsung galaxy star pro GT 7262 imekuwa haina sehemu ya kubadili mtandao kwenda 3G au 4G zaidi ya mtandao kusoma E mpaka inanikera ila kuna hii sehemu katika cm yng...
Jamani wataalamu wa kompyuta mpakato naomba msaada.
Nina HP ambayo nilinunua mwaka 2013, first hand.
Toka niliponunua sikuwahi peleka kwa Fundi, yeyote zaidi ya kushusha window Mara moja tu...
Nina Laptop hapa nimeletewa ina tatizo la herfu D na # ukibonyeza hajifanyi kazi ila herfu nyingine zote zinafanya kazi nime jaribu kufungua lakini bado naona bado tatizo lipo msaada wenu naomba...
1.Naomba mnisaidie jinsi ya kupdate window katika PC natumia window 7 ultimate kwa pc ya toshiba.
2.Charging sytem inasumbua katika PC yangu yani nikiwa nachaji huwa inasema plugged but not...
Nilkuwa nahtaj kujua gharama za kujiunga na malipo ya baada postpaid toka tigo na vigezo vyao pia kwa anayejua au kufaham kuhusu hili anisaidie kwa hilo.
Habari wakuu,
Najaribu ku-share folder toka linux kwenda windows. Kwenye windows, folders zinaonekana ila hazifunguki. Zinasema you have no right permissions ila nimeweka permission zote. Natumia...
Napenda kujua jina la software inayotumika ku control Projectors. Ambayo inamsaidia mtu ku view videos, Bible verses, etc.. kuna makanisa mengine huwa yanatumia hiyo program
Wakuu habari.
Nikiwa kila mara nikiangalia simu mpya na specification zake katika website maarufu duniani www.gsmarena.com sijawahi kuona tecno mobile phones na hata tab zao. Nimejaribu hata...
Points unazopata waweza tumia kununulia apps kwenye play store.
Very useful haswa kwa sisi tusiokuwa na credit cards. Tumia hii code 934962 kupata points 200 faster
Check out this app. It's...
Wakuu habari, naomba kujuzwa jinsi ya kuweka banners kwenye blogger kupitia HTML CODE au kwa namna rahisi jinsi ya kuweka tangazo kwenye blogger blog, shukrani kwa watakao nifanikisha kujua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.