Msaada wadau

Kahesa Andrew

Member
Apr 3, 2012
82
35
Ninafanya setting za ppp over ethernet(pppoe) kweny d link router dsl 2540u nimekwama kwenye
Ppp user name
Ppp pasword
Ppp service name
Isp wangu ni ttcl msaada wenu wakuu
 
Ninafanya setting za ppp over ethernet(pppoe) kweny d link router dsl 2540u nimekwama kwenye
Ppp user name
Ppp pasword
Ppp service name
Isp wangu ni ttcl msaada wenu wakuu

Unatumia cable?

Ni vyema uwasiliane na ttcl, kwa sababu hizo ni details za account yako huko ttcl.
 
Back
Top Bottom