Apple watoa iOS 10 na Kufanya mabadiko makubwa.

fortuneless

Member
Jun 8, 2016
95
49
Kampuni ya Apple iliyobobea kwenye utengenezaji wa Vifaa vya mawasiliano kama Computer, Simu, speaker (beats by dree), Saa za mikononi (iWatch) imetoa Update katika operating system yake ambapo sasa wametoa iOs 10

Nilichokiona kwa Haraka ni kwamba Inbuilt application zinaweza kuwa Deleted application hizi ni kama Compass, Stocks, iTune, e.t.c Zaidi soma hapa kwenye website ya Apple.


iOS 10.0
 
Back
Top Bottom