Msaada Nahitaji kupunguza Size ya Video!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Simu yangu nikirecord video inatoa video zenye Size kubwa sanaa hadi nashangaa! Sasa Jana nimerecord video yangu ina MB 525 kwa dakika 3,hahitaji kupunguza sanaa hii size bila kupoteza quality ya Video yangu kuanzia Sauti hadi muonekano

Msaada tafadhari
77d2187cdc0e06797fd978bb47d8519f.jpg
b1ff85b2f3a5946942d8f012723428ec.jpg
 
Video ambayo tayari nimesha irecord ninayo na hiyo nyingine kama inawezekana ili siku nyingine isijirudie

kwenye setting ya camera nenda upande wa video tafuta resolution eka 720p au chini ya hapo video hazitakuwa na mb nyingi,

kwenye kuconvert tafuta video converter yoyote playstore itafanya hiyo kazi ila kwa simu huchukua muda mrefu sana
 
Back
Top Bottom