---------- just sent you a refund

God knows

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
276
173
Nilifanya muamala kupitia paypal kwa kadi ya CRDB. Seller kanipa refund ya malipo baada ya biashara kushindikana.

Naomba kujuzwa yafuatayo:
Je, CRDB wanapokea malipo kutoka paypal?
Natakiwa kufanya nini ili hela iweze kuingizwa kwenye account yangu?
Muda gani inachukua?

Asante.
 
Back
Top Bottom