Hellow there,
Am a developer I came up with the webapp idea which will kick down mkito and mdundo hence dominating the online artistic sales around the world.
Features of the webapp:
Allowing...
Leo katika pitapita zangu nkakutana na hizi simu..INFINITY SMARTPHONES..wenye kuzijua...kweli hizi simu sio za mwezi june...TCRA??
Je, vipi kuhusu ubora na uimara wake...??
Naomba kuwasilishaa
Nilinunu simu yangub aina ya Samsung s4 Marekani mwaka mmoja uliopita, ajabu nimegundua kuwa IMEI iliyopo nyuma ya simu, ni tofauti na ile ya ndani ambayo naipata baada ya kuingiza number *#06#...
Hii inatokea mara nyingi kila ninapompigia mtu ambaye hana salio hasa tigo kwenda tigo. Sababu ni nini wakati mimi ndie ninayepiga hasa kwa ndugu zangu wa kijijini? Mpaka nitume salio kidogo ndio...
ni baada ya kutuma IMEI ya simu yangu ya zamani MOTOROLA L6i , kwenda namba 15090.
Na majibu ni MOTOROLA LLC, LENOVO COMPANY,....kama nilivyoambatanisha, kwenye picha.
nimekua nikitamani sana kununua vitu ebay na amazon ila naingiwa na wasiwasi sana kuhusu usalama wa pesa zangu. nnimekua nikifatilia sana kupatana.com na hayo masoko hapo juu naingiwa na wasiwasi...
Kuna nyumba nimehamia kila umeme ukikata na socket breaker inakata, na kuna wakati socket breaker inakata tu umeme. Hili tatizo ni nini fundi akija aanzie wapi.
Habari wanabodi,
TCRA imesikia vilio vya wadau wa simu za mkononi,taarifa za ndani zinasema kwamba kuanzia May 2015 simu yako ikiibiwa piga simu haraka sana huduma kwa wateja TCRA kuelezea...
Kwanza natanguliza shukrani za dhati kwa msaada niliopata humu baada ya kuleta uzi wangu.
My thanks go to Chief Mkwawa and other JF members.
Leo niko na shida nyingine. Nili-search uzi wa...
Wakuu naomba anaefahamu Programm au App ya Kuunga na kuedit videos mbali mbali.
Actually nimezirekodi kupitia simu yangu but nataka nizihamishie kwenye laptop ili niziedit na kuziunga.
Kifupi...
#Sayansi NaTeknolojia Njia ya kuepusha akili bandia kuhatarisha binadamu yatafitiwa
Watu wengi wana wasiwasi kuwa kama akili bandia inaweza kuhatarisha maisha ya binadamu hata kuwaua au la...
Kampuni ya UBER inayomwezesha kila mwenye gari kufanya biashara ya TAXI sasa imeanza kazi Tanzania na itaanza safari za majaribio Alhamisi hii. Unaweza kudownload App yao Playstore au AppStore...
Nenda kwenye setting afu account zen privary mwisho toa tick kwenye sehemu ya read receipts. Hapo hata ukisoma Ujumbe wa mtu hataona blue tick Kama umesoma.
Habari wana jamvi.
Sina nia mbaya na biashara za watu Lakini kwa hili.....wacha nitoe ya moyoni.
Ninapenda sana kuangalia mpira wa miguu hasa wa Uingereza (EPL); tatizo langu ni kuona DStv...
Naomba kufahamu namna ya kupima ujazo wa maji katika tank, nafikiria kujenga karo lenye upana wa futi 3 na urefu wa futi 4, kimo futi 5. (Nikumbusheni formula)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.