msaada:samsung infuse 4G null IMEI/no network

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,320
6,677
wakuu samahani ninaomba msaada wa simu yangu SAMSUNG SGH-i997 au maarufu kwa jina la INFUSE 4G,niliitoa betri kurudishia ikawa imepoteza network na IMEI haisomi,ukiandika ile namba ya kuangalia IMEI inaandika null/null..
niombacho ni msaada kama kuna yeyote mwenye uzoefu wa kutatua tatizo hili,
nawasilisha wakuu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom