Nataka kununua laptop yenye uwezo wa kucheza game hizi

mike318

Member
Nov 6, 2014
50
2
Wakuu nna laki 5,.nataka laptop itakayosukuma games kadhaa kama fifa,call of duty nk.
Iwe used au mpya,mnanishauri nichukue yenye vigezo gani kulingana na iyo budget hapo.
Hata kama kuna anaeuza yake kwa bei iyo aseme pia specs zake.napatikana dar,natanguliza shukrani wakuu.
 
nafikiri kama ukipata mtu mwenye kama hii na hiyo hela yako itakua poa

CPU: Intel Core i3 2105 @ 3.1 GHz or AMD Phenom II X4 955 @ 3.2 GHz
4 GB RAM
GPU:nVidia GeForce GTX 470 or AMD Radeon HD5870 or better (1024MB VRAM with Shader Model 5.0)
au

CPU:Intel i5-2550K 3.4Ghz
RAM:8GB
ATI Radeon HD 6870, NVIDIA GTX 460

na utacheze games kwa hd
 
hapo huna ujanja ni used tu na pia hio used huwezi kucheza hizo games kwa quality kubwa.

tafuta laptop za 3rd generation used i3/i5/i7 atleast utacheza games na hd 4000.

nenda hii thread

Wauza laptop tukutane hapa

laptop ambazo processor zake zinaanziwa na 3 kupanda ndio zinafaa kwenye hio thread kuna

-yenye i5 3337u kwa 425,000
-hp probook 6570b kwa 380,000 nimecheki online cpu yake ni i5 3210m hii pia inafaa na nzuri kuliko hio hapo juu
 
Kwa laptop za CAD vipi Chief Mkwawa
cad zinapenda sana core zenye nguvu hio ya pili yenye i5 3210m kama upo kwenye budget inafaa. ila kama budget ni kubwa zaidi panda juu zaidi kwenye i5/i7 za kisasa za 6th generation
 
Chief-mkwawa.kuna hii jamaa anauza.ni core i3-3210m 2.3ghz,4 gb ram.samsung laptop vipi kwa games kadhaa itaweza?
 
Back
Top Bottom