Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naombeni msaada nifuate nini au natakiwa kuwa nani ni ili nitengeneze forum kama hiyo lakini yangu itadhamiria sana katika makundi Fulani ya watu.
1 Reactions
3 Replies
879 Views
Wakuu, simu yangu imetoa mstari mwembamba kwenye screen Kama inavoonekana...naomba msaada wa kurekebisha
0 Reactions
10 Replies
1K Views
How many times have you been messaging a group of people and you try to answer a question or respond to something, but someone else writes something unrelated before you can reply? Your message...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa anaejua jins ya ku up-date simu model iliyotajwa juu,msg inatokezea mara kwa mara ikitaka ni up-date software,ila nakua na option ya ku postpone.Je,kuna effect gani kama nitaendelea ku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni MSAADA Wataalam ninataka kubadilisha jina katika E mail ya gmail nafanyeje? Mail ni ileioe ila jina nataka lingine msaada wakuu
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Jamani msaada tafadhali. Nitapata vipi FIFA15 kwa PC yangu.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni project iliyoanzishwa na mwanafunzi wa UDOM akishirikiana na mwanafunzi wa UDSM. Saidia watanzania wenzako kung'ara Africa Dear friends My project "Software that people will pay online for...
0 Reactions
4 Replies
900 Views
Unaweza Pakua hapa food whatsapp kupitia link hii Fouad.Whatsv4.42.apk
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF nilikua naomba kujua series za intel HD grahpics me nasikiaga kuna intel hd grahics ya 2000 intell hd graphics ya 2500 intel hd graphics 3000 intel hd graphic 4000 naomba...
0 Reactions
3 Replies
907 Views
mwenye ssd nafuta nicheki kwenye namba hii 0762655938
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Heshima kwenu wakuu, Samahani naombeni msaada wenu namna ya ku update cm yangu ni BLACKBERRY 9800,kwani whtsapp inagoma inataka mpaka ni update cm,msaada wenu muhimu kwangu Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HABARI Naombeni msaada wenu ndugu zangu kuna project naifanya yenye title ""HUMAN VOICE CONTROLLED WHEELCHAIR FOR DISABLED PEOPLE "" project yangu inahusisha EasyVR module 3.0 (without the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pata simu kwa bei poa kabisa Samsung Galaxy S3-350k S4-395k S5-496k S6-1.24m S6 edge - 1.55m S6 edge plus - 1.78m Samsung Galaxy Note 1-292k Note 2-393k Note 3-532k Note 4-750k Note...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Ninafanya setting za ppp over ethernet(pppoe) kweny d link router dsl 2540u nimekwama kwenye Ppp user name Ppp pasword Ppp service name Isp wangu ni ttcl msaada wenu wakuu
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana-JF, Kama kichwa cha habari kisemavyo. Nifuate utaratibu upi kwa ajili ya kutengeza website kama JAMIIFORUMS? Nawasilisha..
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wakuu samahani ninaomba msaada wa simu yangu SAMSUNG SGH-i997 au maarufu kwa jina la INFUSE 4G,niliitoa betri kurudishia ikawa imepoteza network na IMEI haisomi,ukiandika ile namba ya kuangalia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu. Natumia dell pp33l, imezimika ghafla. Naombeni msaada wenu
0 Reactions
5 Replies
880 Views
Kampuni ya Apple iliyobobea kwenye utengenezaji wa Vifaa vya mawasiliano kama Computer, Simu, speaker (beats by dree), Saa za mikononi (iWatch) imetoa Update katika operating system yake ambapo...
1 Reactions
0 Replies
892 Views
kwa wale walioshangaa facebook kutoa dola bilion 18 kununua whatsapp leo microsoft amezidisha zaidi kwa kutoa dola bilioni 26 kununua linkedin kwa haraka haraka ni zaidi ya trilioni 55 za...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Natumai wengi wenu ni wazima wa afya, nimekwama kidogo maalifa na uwelewa wa jinsi gani naweza kuongeza nafasi iliyo jaa katika pc yangu ninayoitumia. Local disc C imejaa na naitaji niiongezee...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom