Website zenye mchanganyiko wa content ya kiswahili na kiingreza zinasapoti adsense?

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,969
Habari wakuu nasikia kuwa na nimeona kuwa kuna namna ya kuweza kufanya website yako ikasapoti adsense hata kama ina content za kiswahili, sasa sina uhakika unafanyaje je ni kwamba unakuwa unatuma na content za kiingereza au ni masuala gani unafanya
mfano jamiiforums naona kama ni mainly swahili content lakini inasapoti adsense, kuna namna gani unafanya?
asanteni
 
Back
Top Bottom