Wadau kuna mtu anahitaji msaada hivyo naombeni mawazo yenu,
"Nina blog ambayo ipo hewani ni mwaka wa nne huu ila ipo dormant nataka kuifanyia kazi kila siku kuanzia sasa, je kwa tanzania unaweza kupata hadi kiasi gani kwa mwezi kupitia blog kama ukiwa nayo serious? na je unaweza kuitegemea katika kukupatia kipato cha kila siku na hata kuuaga umaskini?
Vilevile kwa mobile application, je watu wananufaika kwa kiwango gani hapa tanzania?
Asanteni"
ushauri wenu unahitajika na mifano pia.