Msaada wa ku-update Blackberry 9800, WhatsApp inagoma

Msaada wa ku-update Blackberry 9800, WhatsApp inagoma

Mwaka mpya

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2016
Posts
213
Reaction score
222
Heshima kwenu wakuu,
Samahani naombeni msaada wenu namna ya ku update cm yangu ni BLACKBERRY 9800,kwani whtsapp inagoma inataka mpaka ni update cm,msaada wenu muhimu kwangu
Ahsanteni.
 
nilisikia mwaka huu kua whatsapp haitakuwepo kwenye blackberry
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom