Explainer
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 517
- 506
Natumai wengi wenu ni wazima wa afya, nimekwama kidogo maalifa na uwelewa wa jinsi gani naweza kuongeza nafasi iliyo jaa katika pc yangu ninayoitumia. Local disc C imejaa na naitaji niiongezee space ili niendelee kuitumia, sasa tatizo ni kwamba sijui ni jinsi gani itumikayo kuongezea ukubwa [space] katika hizi partition.