erick rwekaza
New Member
- Jun 10, 2016
- 1
- 0
HABARI
Naombeni msaada wenu ndugu zangu kuna project naifanya yenye title ""HUMAN VOICE CONTROLLED WHEELCHAIR FOR DISABLED PEOPLE "" project yangu inahusisha EasyVR module 3.0 (without the shield) napata wakati mgumu napojaribu ku connect na EasyVR commander,kuna error message napata ya "A EasyVR Shield/Bridge device has been found, but the bridge software is not responding or it is outdated. You need to manually download the updated bridge software to the device" naombeni msaada wenu kurekebisha hiyo error