Niaje Wakuu niende moja kwa moja kwenye point
Kuna Spread sheet nataka kutengeneza ambayo inakuwa na Expenses, Derbit, Credit na Cash Flow kwenye Bank Acc mfano nimenunua sukari 200tsh hii...
Believe it or not, even today, it’s possible to make a website TODAY, that will someday compete with Facebook, YouTube, etc.
As you have probably have heard multiple times, there is no secret...
Heshima kwenu wakuu ! Kwa anayejua jinsi ya kufanya partion kwnye drives za computer naomba msaada
ni kwamba pc yangu ina memory kubwa sn kweny drive D' wakati drive C' ina kiasi kidogo...
Simu yangu ni samsung gallaxy SIII Mini version 4.2.2 nataka kwenda ktk version ya juu zaidi naombeni msaada wenu wa hali na mali.....
Simu nmeshai-root kwa #kingroot na imekuwa verified kwa...
Hbr nimebonyeza button za kuswitch lakini inasema, broken wire/ wire plug out, je kuna kitu chochote cha kuchomeka ili wireless yangu ifanye kazi. Na tumia ACER INSPIRE 4333.
mwenye msaada...
Wakuu naombeni msaada,
Nina Television yangu Sumsung flat screen in in usb port ila sasa nikiweka flash disk ikiwa na mvoies hazionekani kabisa lakin ikiwa na nyimbo audio zinaplay bila matatzo...
Wadau poleni kwa uchovu wa weekend
Nina rafiki ana techno j8 (boom) Bluetooth yake haina nguvu ya kukonet umbali wa haya mita mbili
Tatizo nnn?
Na nn afanye?
Nategemea kutoka kwenu wadau
Nina sony xperia tatizo lake ukiiwasha inawaka inaonyesha logo ya sony,baada ya hapo haiendelei inakua inajiwasha na kujizima, nini tatizo au nifanye njia ipi niweze kutatua? Msaada wakuu.
Habar wana JamiiForums
Najua kuna walioitumia simu aina ya tecno camon c5 Lte.
Swali langu ni kwamba hii simu ina ubora kiasi gani?
Kwa aliye wahi itumia anaweza kuniambia kuhusiana na aina ya...
Habari wana JF.... Msaada jinsi ya kupata app ya mobile cheater spy na vipi kuhusu jamaa anayejiita zahoro kuuza hii App kwa 25,000 ni kweli?
Nawasilisha asante
Habari wandugu
Kama kuna mwenye uelewa na hili naomba anisaidie. Hua natumia internet kustream live football match, lakini mara nyingi internet inakua slow sana.
Natumia 4G ya TTCL na hua nikitest...
Tv yang ni lg model 42px4mvh-ta,nakosa raha kabisa ukizingatia nilinunua zanzbar alfu mimi naishi mkoan,kuirudisha tena naona. Ni kazi ya ziada,ilianza kama mchezo iv,ilikua ukiiwasha inakua black...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, zamani nilikuwa natumia window 7 na ilikuwa inafanya kazi poa tu iwe kwenye chaji au haipo kwenye chaji. Sasa jana nime update kwenda window 10, cha ajabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.