Tecno Chaji zinatunza nna Tecno J 7 yani hadi Raha
Ni simu nzuri sana na ninaitumia takribani mwaka sasa.. Labda kama unaswali mkuu!
Angalizo:kwasasa kuna c5 fake nyingi tu sokoni.
Duuuh
Looh...mie naihitajmimi naitumia sasa hivi
kwa sisi wapenda selfie ina kamera nzuri sana..
pia ni nzuri inakaa na chaji
ila changamoto ni hizo
wakati mwingine inajifuta majina
afu inayarudisha baada ya muda
pia inaweza kujizima tu sasa sijui ni yangu tu ..
na hizo fake nowdays zimejaa sana
Ahsante kwa ushauri wako kaka..Kama unavyojua simu sokoni kwa sasa ni utitiri na umekuja vzr kuuliza maana ukiingia kichwa kichwa utalia kilio cha samaki.
Kuuliza ndio kujua jambo, kama unahitaji c5 ni cm nzuri na inaenda na wakati wa sasa ambao tunasema ni kizazi cha nne yaani 4g. Ukiwa nayo na kama line ya cm ni 4g basi c5 inakufaa.
Pia inakupa camera button ya pembeni huna haja ya ku click scree. Storage ni 8gb, ram 1gb na camera 8megapix na ya mbele ni 5 megapixel.Na ni long power saving mode.
Note :Tecno no power bank hapo ndio tofauti na makampuni mengine ya phone
Vip kuhusu performance yake haistaki?mimi naitumia sasa hivi
kwa sisi wapenda selfie ina kamera nzuri sana..
pia ni nzuri inakaa na chaji
ila changamoto ni hizo
wakati mwingine inajifuta majina
afu inayarudisha baada ya muda
pia inaweza kujizima tu sasa sijui ni yangu tu ..
na hizo fake nowdays zimejaa sana
yah haiga hio kitu...ina miezi 6 cjaona hio kituVip kuhusu performance yake haistaki?
Huruma gani? Nna miezi 8 natumie 5 iko vizur sana,inakaa na chaji zaidi ya masaa 9 ,camera nzuri. Mpaka sasa sijaona tatizo la hii simu yangu na mzigo wa 4G unapiga fresh sana.Binafsi ni tecno user but hizi series za C zimenifanya nichukie tecno hadi basi. Yani nikisikia mtu anajichanga anunue simu ya tecno najisikia huruma sana.