Cmu yako itakuwa iko kwenye USB Debugging Mode. Uncheck checkbox ya usb debug. Kisha connect na usb. Utaletewa dialog Then click button ya dialog hiyo ili ku-allow mass storageNaomba msaada kwa anaejua namba ya kuifanya simu ya Boom j7 iwe na Mass Storage maana ina MTT na PPT tu so nashindwa kuiunganisha na Tv yangu