Hio model number umeandika haipo sawa. Ila cheki hio picha hapo chini.. Kwa hizo model kwenye picha inaonesha inasupport au post vizur hio model number au ingine IMEI.INFO alaf ingiz imei ya simu yako utaambiwa kama inasoma 4g..kama inasuport......inakonectiwa vipi??
GT i9500 haisapoti 4G LTE ila GT i9505 ndio inasapotikwely nilikosea....n gt19500