Msaada: CD KEY za Windows XP Tablet Edition

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
Salaaam wakuu,
Wakuu mtu mwenye Cd key za win xp tablet edition tafadhari anisaidie nimekwama ndugu yenu
 
Ahsante mkuu ila hii key hainipi option ya ku install cd 2 ambayo ndiyo inakuwa na files za win XP tablet edition

jaribu kutumia hizo keys zilizo chini ya hiyo laptop yako. au ka ni PC kuna seheme kuna seal ya Microsoft utaona kuna keys.
 
Back
Top Bottom