Paul Victor
Member
- Mar 25, 2015
- 16
- 3
Hbr nimebonyeza button za kuswitch lakini inasema, broken wire/ wire plug out, je kuna kitu chochote cha kuchomeka ili wireless yangu ifanye kazi. Na tumia ACER INSPIRE 4333.
mwenye msaada naomba anisaidie.
mwenye msaada naomba anisaidie.