Msaada kwa Wataalamu wa Excel

cc12

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
1,018
395
Niaje Wakuu niende moja kwa moja kwenye point

Kuna Spread sheet nataka kutengeneza ambayo inakuwa na Expenses, Derbit, Credit na Cash Flow kwenye Bank Acc mfano nimenunua sukari 200tsh hii itakuwa derbit (Nimetoa kwenye Acc yang ambayo ina shiling elfu 5000) iikabak 4800 nikapewa hela na juma shiling 600 hii inakuwa ni credit (4800+600=5400 ambacho nikias kwenye akiba yangu) sasa nataka kiweka hii kitu kwenye Excel lakin formula imenipiga chenga mkuu na sehemu inayotakiwa kuwa na Formula ni moja tu kwenye Cash Flow Basi

CC ymollel Chief-Mkwawa na wengine
 
Kaka Google how to put formulas in excel sheet.

Utapata somo zuri kama vile Edward Snowden alivyojisomea mpaka akawa mdukuzi mzuri wa computer bila kwenda shule maalum.
 
Hapo kwenye maelezo yako kuna kitu naomba unifundishe. Unaposema umenunua sukari kwa 2,000 kisha pesa itakaa debit side, hivi mkuu sio kwamba inakaa credit side maana wanasema credit side ni pesa unazotoa pekee? Mfano chochote utakacholipa, yaani kianziacho na neno paid kinakaa credit side. Hapo kwako naona ni tofauti, embu nifundishe Mkuu.
 
Hivi Coolant inapatikana sehemu gani
 
images
 
eka credit zako mfano column C
eka debit zako mfano column E

column F andika kanuni hii

=sum(C:C)-sum(E:E)

hapo watakupa tofauti ya jumla ya column hizo. sijui nimejibu sawa au sijaelewa swali
 
Kuna program ya windows nilitengeneza mwaka jana kwa ajiri ya mambo yangu ya Uhasibu , itakusaidia kutatua tatizo lako.
12080201_971843049554395_7372628778525309254_o-jpg.366215

download program hii hapa -->Magabe Hundi 2.0.1.5
 
Attachments

  • 12080201_971843049554395_7372628778525309254_o.jpg
    12080201_971843049554395_7372628778525309254_o.jpg
    146.6 KB · Views: 188
Kaka Google how to put formulas in excel sheet.

Utapata somo zuri kama vile Edward Snowden alivyojisomea mpaka akawa mdukuzi mzuri wa computer bila kwenda shule maalum.
sna maana kwamba sijui kuweka formula najua vzr ila ile expresion ya formula ndo inazingua sijui
 
Hapo kwenye maelezo yako kuna kitu naomba unifundishe. Unaposema umenunua sukari kwa 2,000 kisha pesa itakaa debit side, hivi mkuu sio kwamba inakaa credit side maana wanasema credit side ni pesa unazotoa pekee? Mfano chochote utakacholipa, yaani kianziacho na neno paid kinakaa credit side. Hapo kwako naona ni tofauti, embu nifundishe Mkuu.
mkuu mim ninavyojua Debit ni kiasi cha pesa unachotoa kutoka sehemu fulan iwe mkopo au bank na credi ni kiasi cha unachoweka kwenye akaunt yako
 
eka credit zako mfano column C
eka debit zako mfano column E

column F andika kanuni hii

=sum(C:C)-sum(E:E)

hapo watakupa tofauti ya jumla ya column hizo. sijui nimejibu sawa au sijaelewa swali
mkuu ujanilewa vzr hapo unapochukua credit-debit sijui unapata nin mim nina idea ila namna ya kupresent kwente Fx sasa ndio mziki labda nina laki mbil yangu nikitaka kujua nimeingia nimetoa sina naweka 200,000-Debit+Credit ila nikiweka hii kwenye sheet haiwiii carry foward angalia hapa yan formula inakuwa applicable kwenye row ya kwanza tu ukijaribu kwenye
row ya pil kwa kudrag inakataa inatoa jibu la uongo
 
Attachments

  • Capture.JPG
    Capture.JPG
    38.4 KB · Views: 39
sna maana kwamba sijui kuweka formula najua vzr ila ile expresion ya formula ndo inazingua sijui

Pole kwa kukuita kaka.

Nadhani pia hujaelewaka vizuri. Chief Mkwawa labda kakuelewa.

Lakini pia tutorial za aina zote ukihitaji ni kuingia google. Uwe tu na mda wa kutosha na concentrate.
 
niambie ujaelwa wap nikuelekeza upya
 
Ushauri...column ya amount itoe. Inazingua hapo ilipo. Acha ibakie kule kwenye column za debit na credit. Halafu hiyo cash flow unataka iwe inakupa salio la kilansiku baada ya.mahesabu ya debit na credit?
ndio mkuu ambapo kiasi kinachotakiwa kubak hapo ni kile kilichopo bak kama nin laki nimetoa(debit) elfu 20 ibaki 80 alaf may be nikaongeza lak iwe laki 180 (credit)
 
Pole kwa kukuita kaka.

Nadhani pia hujaelewaka vizuri. Chief Mkwawa labda kakuelewa.

Lakini pia tutorial za aina zote ukihitaji ni kuingia google. Uwe tu na mda wa kutosha na concentrate.
Huyo ni dume sema kaweka avater ya mwanamke.
Profile lake linaonyesha hivyo.
 
Back
Top Bottom